Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

nenda huko wizkid co muafrika au ojuolegba itachukua matuzo kibao na mwakani ndo best male wizkid

Ndio tunachokitaka tunakuwa tunawaongelea wanaume diamond davido wizyy sio kimba hatutaki uchafu pande hizi

Tangu lini mkaa ukauzwa supermarket?? shine bright like a diamond oyoooooooooooooooooooooooooo am so happpy meeen i love is my kantri cute b Avemaria Shardcole afu tunataka utoe kimba maana ulishatoa ahadi uliapa mkuu jipige na selfie hatutaki upuuzi hapa
 
Last edited by a moderator:
hiyo style yake yakujibinua binua vitako kama gasho na kutupa t shirt kwa mashabiki

Na ile walivua nguo jukwaani wakabaki na vyupi...
Chezeiyaaaaa wanaanzaje kukosa ya unenguajiiiiiii?
 
Kuamini diamond ni best live act mbele ya Mr flavour ni zaidi ya upopona
Kwa Africa hakuna msanii yeyote anaemfikia flavour kwa live performance

Kama unaikosoa tuzo ya utumbuizaji aliyoshinda Kiba ktma mbele ya dai

Kosoa na hii dai hamfikii flavour hata kwa bakora

kusoma ujui hata picha!
 
Hayo ni maoni yako.. We respect your opinion
 
Davido - nominations 4 kapata 1
wizkid - nominations 3 hajapata
Diamond - nominations 3 kapata 1
AKA - nominations 3 kapata 1

East africa wasanii 5 aliyepata ushindi 1 Diamond
Hakika huyu ni muwakilishi wetu mzuri sana...

Hail to the king diamond
wizkid na tuzo wapi na wapi hata kura haombi bwana yule anapiga kazi kazi ndo itajieleza sio kila cku click bio to vote click bio to watch video sifaaaa anatakaa
 
Last edited by a moderator:
Nauliza tuu wadau, msanii pekee toka EAST AFRICA aliyenyakua tuzo za mtv mama 2015 ni..............
í-½í¹Œí-½í¹Œí-½í¹ŒâœŒâœŒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒ
 
kinachofurahisha zaidi hakuna msanii aliyebeba tuzo zaidi ya moja ukiacha DJ Arafat
 
nauliza tuu wadau, msanii pekee toka east africa aliyenyakua tuzo za mtv mama 2015 ni..............
í-½í¹Œí-½í¹Œí-½í¹ŒâœŒâœŒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒ

diamoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooonddddddddddddddddddddddddd
 
sana tu sio kama ktma wananunuliwa watengeneze msanii wa kupafom bure fiesta wakati fiesta inaingiza mabilioni
hizo tuzo na matamasha kama fiesta ndo vimemtoa domo na wasanii wengi sasa we cjui unaongea kiushabiki tu au mahaba niuwee
 
Hizi tuzo si rahisi kupata kama wengi wanavyofikiri, ndo mana kuna umuhimu wakupeleka wasanii wengi kimataifa, cheki wanigeria wamezoa tuzo kibao, sisi tumekalia majungu

Wamezoa hadi aibuuuuuuuuuuuu! Sie wa kwetu mmoja tu na bado anapigwa majungu! Tuna safari ndefu sana kufika tuendapo!
 
Nauliza tuu wadau, msanii pekee toka EAST AFRICA aliyenyakua tuzo za mtv mama 2015 ni..............
í-½í¹Œí-½í¹Œí-½í¹ŒâœŒâœŒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒí-½í²ƒ

Sijui naniii? ? Vilee....
 
Back
Top Bottom