mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,626
Haikua kazi rahisi..we made
Nimefurahi maana sikujali ma mb kabisa, gumba langu bado nalichua liwe na usofti lisikomae.
majaji watakuwa wamesema duh Tanzania kumeucha mwaka huu kwa kura tulizopiga, kubreki rekodi na tuzo amebeba.