Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Hapo ndipo unaonekana umuhimu wa kuwa na watu wengi wanaofanya vizuri kwenye industry. Sitegemei kama msanii wa nigeria atatajwa kuwa katokea Angola! Kwasababu wameshajibrand na wanajulikana sana.

Kabisa huyu jamaa namuonaga kwenye TV show yake akiwa makini sasa sijui kwa nn kabugia leo
Ila diamond kaitanganza nchi yetu
 
Mtu anafanya kazi nzuri kutokana na mzingo wa $ uliwekwa mezani na mda hapo unazingatiwa sana zaidi ya kumkata lowassa!

rais wa wamasai ana usika vip hapa😅😅😅
 
Kituzo chenyewe kimoja tu, hapa fitina zimefanyika walah hiv kwel Dai best live Act than Mr.Flavour? Haingii akilini ujinga huu.

Shame shame to mtv
Pole sana
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    7.6 KB · Views: 253
mama evolution kachukua D banj...

Hapa ndio nimegundua kura sio kila kitu coz searches za hastags mpaka mwisho dbanj alikuwa na 19,000+ wakati j chameleon aliwagalagaza na 72,000+

So sad na ndio waliokuwa supported by wema na kiba
 
Kituzo chenyewe kimoja tu, hapa fitina zimefanyika walah hiv kwel Dai best live Act than Mr.Flavour? Haingii akilini ujinga huu.

Shame shame to mtv

We Kama kimya wenzio wakiwa uchi huwa hawapiki kelele we Kaa uchi msubiri Obama aje basi.......shame to u utakuja kufa kwa pressure
 
Walah kweli Africa bado sana kupiga hatua, eti Dai ni best live than Mr.Flavour? Eeh mola irehem Africa inayoangamiza vipaji vya vijana wako.
 
Back
Top Bottom