Hivi na wewe unajua maana ya BEST LIVE ACT?
Ajulie wapi mchawi huyo
Hivi na wewe unajua maana ya BEST LIVE ACT?
uwe na domo kubwaa na ukatike mauno sageni unatunukiwa ile
halafu nakumiss nipe hata salamu basiMkuu shikilia hayo mashavu vizuri.... alafu usikunje ndita banaaaa yaah smile kidogo mchumba asije akakukimbia...
Aya mwanamuziki bora wa kiume ni davido afrika nzima.
Anaiwakilisha Africa vyema...
Uzalendo hoyeeeeeeeeee
Ahahahahaa ahssante mami wanguuu love youuuuuu
Team tanzania usiku mwemaaaaaaaa
mkuu kumbe na ww unazipinga ktma sasa domo alivyochukua c hata belle 9 alilamika au co msanii tatizo jamaa anataka aone kila kitu anaonewa mbona rich mavoko yupo cool na ktma ndo zilimfanya awe famous pia zaidWe jamaa unaakili saana
Tuzo za mbuluraa waachie mituzo yao ya kinafiki
Mr Ivory.....
Vipi
Umeshaenda chuo ?
Kama ndio
Vipi kuhusu mkopo mumeshaanza maandamo ?
Hahahaaaaaaa kama vile naona unavyo umiaa hahahaaaa umeishiwa umeanza personal attack hahahaaaaa mada apa ni davido ni best male.
Kuhusu mimi kujua au kutokujua haikuhusu kwani nakutumaga unisomeee?
Kumbe nakuumizagaa eeee?
Pole sana mimi ndo cute b bhanaa much know a.k.a google.
Ndio najua kwani wew hujui kuwa davido ndo mwanamuziki bora Africa hahahaaa lala ukiwa umesimama
Tulimaliza
Wote mwaka Jana form 6
Usiukatae wasifu wako
Hahahahahaha eeeeh kwani nikimaliza na ww siwezi kufeliii? Mm nilifeli nipo kijijini nalima
😀😀😀 mbona ulifaulu vizuri tu
Karibu sana tulikumiss mnoooo
Personality of the year Trevor anastahili,namkubali sana
mkuu kumbe na ww unazipinga ktma sasa domo alivyochukua c hata belle 9 alilamika au co msanii tatizo jamaa anataka aone kila kitu anaonewa mbona rich mavoko yupo cool na ktma ndo zilimfanya awe famous pia zaid