Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Nawatuache tulaleeed
 
Attachments

  • 1437281202897.jpg
    1437281202897.jpg
    23.9 KB · Views: 322
Hahahaaaaaaa kama vile naona unavyo umiaa hahahaaaa umeishiwa umeanza personal attack hahahaaaaa mada apa ni davido ni best male.
Kuhusu mimi kujua au kutokujua haikuhusu kwani nakutumaga unisomeee?
Kumbe nakuumizagaa eeee?
Pole sana mimi ndo cute b bhanaa much know a.k.a google.
Ndio najua kwani wew hujui kuwa davido ndo mwanamuziki bora Africa hahahaaa lala ukiwa umesimama

Yaaaan kila threed inayo husu tuzo za mtv wewe ni haters mkubwa wa mondi cjui unatumia akili za mda gan kufikiri,ila wanasemaga ukiona mtu anapinga kile kinacho mzunguka na kukubar kilicho mbaaaali hata kukishika hawez ujue ana dead mind pole dada yangu naona hii tuzo ya mond imekukuta katikati ya siku zako 3 pole sana endeleeni kulinda haki za wanyama
 
Safi dogo kaza team kiba vp?

wapo tuu tena allykibaka amewatilia mikosi sana wenzake Vanessa na Chameleone!!yeye na tuzo za kimataifa wapi na wapi mpaka ajifanye kuwapigia promo??nuksi tu na mikosi amewapa wenzie bora angefunga kibakuli chake tu labda watu wangeshinda
 
Yaaaan kila threed inayo husu tuzo za mtv wewe ni haters mkubwa wa mondi cjui unatumia akili za mda gan kufikiri,ila wanasemaga ukiona mtu anapinga kile kinacho mzunguka na kukubar kilicho mbaaaali hata kukishika hawez ujue ana dead mind pole dada yangu naona hii tuzo ya mond imekukuta katikati ya siku zako 3 pole sana endeleeni kulinda haki za wanyama

Hahahaaaaa poyeeeeee mwenyewe...
Mimi ni hater kinomaaa yaanii ilo lipo wazi mbonaa?
Wew ndo ndo unajua leo?
 
Alivyo na nyota ya tembo aliowaombea wote wamekosa daah itakuwa gundu kama sio ndele haiwezekani kila aliomuombea amekosa

Hahahaaaaaaa pumbaaaaaaaaazzzzzzz....
Best male ni Davido
 
Kuna vitu vya kujifunza hapa... Nigeria wametwaa tuzo zaidi ya sita na almost kila msanii kapata tuzo moja.. maana yake walikuwa na wawakilishi zaidi ya 6, EMBU WAAMBIE WASANII WENGINE WA TANZANIA WAPUNGUZE UVIVU, TUZO KUBWA HAZINA LIMIT KUWA MWISHO MUENDE WAWAKILISHI WANGAPI. KINGINE EMBU ACHENI KUJIITA THE BEST MARA KING HAKUNA MWISHO WA UBORA. TUTAONA TU U DONT HAVE TO SAY IT UNACHOCHEA CHUKI NA KUJIAIBISHA TU.
 
Hahahaaaaaaa pumbaaaaaaaaazzzzzzz....
Best male ni Davido

Maana hakuna namna nyingine tenaaaaa.. Chibu anajuwa kuwapanikisha watu, hakika tokea mwaka uanze sijapata kufurahi hivii..

Pata kidogo u calm dauni
 
Attachments

  • 1437282087820.jpg
    1437282087820.jpg
    24.3 KB · Views: 368
Ohahaha Linda

Balozi wa tembo
Mwanamuziki bora
Wimbo bora
Mtunzi bora
Hadi nyingine nasahau jamani kiba bhaaanaaa hatareeeeeee....
tunalinda zetu temboo...
Na wimbo wetu wa kuwaimbia tembo upo njianiii....
 
Wakuu Vanessa mdee kaniharbia siku, yani analia kisa kukosa tuzo? Mbona Mondy 2010 alipokosa tuzo mtv hakulia. Hii ni aibu sana sasa alitaka ashindane na Yemi Alade kweli
 
Maana hakuna namna nyingine tenaaaaa.. Chibu anajuwa kuwapanikisha watu, hakika tokea mwaka uanze sijapata kufurahi hivii..

Pata kidogo u calm dauni

Naomba ndimu nilambeeeee
 
Wakuu Vanessa mdee kaniharbia siku, yani analia kisa kukosa tuzo? Mbona Mondy 2010 alipokosa tuzo mtv hakulia. Hii ni aibu sana sasa alitaka ashindane na Yemi Alade kweli

halaf yemi kwa kuonyesha ukomavu akampa halla nyingi sana na kumpoza kwa maneno mazuri "ladies every body here z a winner"
 
Back
Top Bottom