Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
+nawaona wanaija wanasherehekea tuzo yao...
+nasisi twasherehekea yetu swaaaaafi
+nasisi twasherehekea yetu swaaaaafi
Mkuu usimtaje huyo mtuu...asije akaacha ulinz wa tembo wetuu
mkuu davido hakustahili best male ilikua apewe domo ilee tuzo hamkat rufaaa
Wewe si cute kama unavyojiita,cute ni bora nyanja zote,nina wasiwasi medula yk wewe huyo uliisifia tuzo ya kiba as bestlive kinoma,nadhani ulimpenda dai at beginimg ,hukubahatika ht kusheki hand nae badala yk ukajenga hatred inayokutafuna hd leo poleeeeeeeee!!!!!!
Kuandama wanaandama wadada Wa San siro like yo
Alichukua anaejua kuimba
Mr Ali salehe kiba
Jamaniii hadi hurumaaaa, Sa matusi ya niii ndo # Msiyempenda kashindaaaaaa, jua halizibwi kwa ungoooo.....Wapi Ndovuuuuuu
Umenisoma vibaya we chizi
Sijapinga ushindi Wa mtu
Nilitoa opinion yangu
Ulivyokua pimbi umeshindwa kurespect opinion yangu unaleta matusi .
Kumbuka kila mtu ana Uhuru Wa kutoa mawazo yake
Jf sio ya baba ako wala mama ako stuka
teh teh lala nishajua tatizo lako ila ungeleta videoz ingekua poa kusindikiza mawazo yako
Ahhahaaaaaaaa pole zako tena pole sanaaaaaa!!!ngoja nikuignore maana nikianza kukutandika matusi yangu nitaishia ban ya wiki mbili na zaidi wakati nashangalia ushindi
good night loooser
Eti nkumbusheni, kwenye KTMA mnenguaji bora alichukua nani vile?
Mkuu umevurugwa sasa tuzo ya mnenguaji bora..anachukua muimbaji bora...
Mjin.ga sana wewe..
Best male Afrika nzima ni davido yaani hakunaga kama davido.
Tuzo ya maaana
nlitaka domo achukue zooote tatu ila kaniangusha saanaaa
Africa ni Tanzania tu kuanzia south ni ulaya tuzo wanagawa kiakili sio Kama KTMA kuna mwaka Ktma kuna MTU atakuja chukua tuzo hata 12 kwa Mara moja shame upon them MTV hawajali wewe ni nani mashabiki wana nafasi yao na majaji pia wana nafasi yao then wanao wania tuzo wote wanaitw kuperform means ukikosa kimoja kingne unapata na kuepuka upangaji wa matokeo Ktma wao wanapiga ramli tuuu msanii anaenda hajui Kama atapata au hatapata anapoteza mda wake for nothing
Kuanzia Leo sito fuatiria tena show wala kuangalia tuzo za Ktma mpka watakapo badirika ubabaishaji tuu hongera MTV base
Alichukua bwana tembo afisa wa mambo flani ya ivory ambae hadi Leo video yke haijawahi onekana mtv base n kule trace wanaipigaga mida saa nane au Tisa ucku cku izi
Asa kumbe anastahili...!!
umefurahi au umechukia japokuwa najua unabanwa na mavi kutokana kubana nya kwa muda mtefu
Kwa kina CUTEb
Getarrraaaaahia yo just a looser.gud for nothing
Anabanwa na kimba huyu jamani.. Msameheni bure
Pilau lote ulilokula lazima uharishe.. Maana digestion ishaharibiwa kabisa na ishindi wa Dai... Poleee mamaa uparato unakubana
+nawaona wanaija wanasherehekea tuzo yao...
+nasisi twasherehekea yetu swaaaaafi