Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Wasssssafiii, achana nae asituharibie shughuliii ...shangwe hadi asubuhiiii...

ahahahahaha nimeshtuka hakyamungu najua wanataka mtu aende bann sasa miye leo wamenoaaaa!!nataka niendeleee kuhimiza watu tupige kura kule kwengine sasa nikienda ban itakuaje??haiwezekaniiiii
 
Ahhahaaaaaaaa pole zako tena pole sanaaaaaa!!!ngoja nikuignore maana nikianza kukutandika matusi yangu nitaishia ban ya wiki mbili na zaidi wakati nashangalia ushindi

good night loooser

goodnyt mutoto mwenye akili nyingi
 
Naandika bila kuogopa MJINGA MWENYEWE
Kiba alichukua tuzo ya MTUMBUIZAJI BORA
Mnenguaji yupo Tandale

Sawa hatujakaa ndo maana sahizi kapelekwa mbugani na tembo nao wapate burudani ake naona mfalme wa mbugani atampa tuzo nyinge na zawadi ya sungura mbili

All DA best alikiba katika kuwatumbizia tembo!
 
ahahahahaha nimeshtuka hakyamungu najua wanataka mtu aende bann sasa miye leo wamenoaaaa!!nataka niendeleee kuhimiza watu tupige kura kule kwengine sasa nikienda ban itakuaje??haiwezekaniiiii

Achana naoo, wanawewesekaaa, hawataki kuamini yaniii...
 
Kimbley haaahaaahaahaa
Et ignore kwani we c ndio kilikuwasha kuniquote
Mbona unakimbia by the way umefanya maamuzi sahii
 
Last edited by a moderator:
Asikuangushe king wako ambaye hata nomination hajaambulia akuangushe diamond Pyeeeeeeeeee!

Kwani king wako kachukua ngapi? hahhahha kama nawaona mnavyotafuta pa kufia! East Africa nzima tuna tuzo moja tu hutaki achaaa!

Umenisaidia kujibu hao timu kiba wanataka tupigwe bani. ....------- wakubwa
 
Mwambieni na msanii wenu avue basi... Si aliambiwa kuwa na Jokate ndo Uganga
we hujui kitu tulia kiba hawezi date na kidoty kumbuka mwanzo walisema millard kisa ukaribu wao sasa hivi kiba kisa wapo karibu na aliozaa nao watoto je atawapeleka wapi
 
Kwa tuzo hizi kwa ukanda wa afrika mashariki kachukua mtu mmoja, bado anapigwa madongo, waangalie nigeria nchi moja imebeba ngapi? Ndipo utajua tunasafari ndefu. Tuongezeni wasanii wengi kimataifa na sio kupunguza hicho kimoja tulichonacho

Kuna watz wajinga saana..yani ndio hawa wanaosababisha hii nchi haipigi hatuaaa
 
Sawa hatujakaa ndo maana sahizi kapelekwa mbugani na tembo nao wapate burudani ake naona mfalme wa mbugani atampa tuzo nyinge na zawadi ya sungura mbili

All DA best alikiba katika kuwatumbizia tembo!

Vipi

Umeshaenda chuo ?
Kama ndio
Vipi kuhusu mkopo mumeshaanza maandamo ?
 
Tatizo lako ni moja tu.. Moja pekee..

Unapenda kujifanya unajua mambo wakati hujui chochote.. Siongelei hapa kwenye mziki pekee, hapana michango yako mingi humu JF ni mtu ambaye hujui vitu ila unaforce kujifanya unavijua. Tatizo lingine kubwa ni kwamba hatukuambiagi tu, ila from now onwards itabidi tuwe tunakwambia ukweli.. teh teh

Hahahaaaaaaa kama vile naona unavyo umiaa hahahaaaa umeishiwa umeanza personal attack hahahaaaaa mada apa ni davido ni best male.
Kuhusu mimi kujua au kutokujua haikuhusu kwani nakutumaga unisomeee?
Kumbe nakuumizagaa eeee?
Pole sana mimi ndo cute b bhanaa much know a.k.a google.
Ndio najua kwani wew hujui kuwa davido ndo mwanamuziki bora Africa hahahaaa lala ukiwa umesimama
 
Khe khe kheeeeeee hahahahaaaaaAaa..
Best male ni DAVIDO JAMANII.
MIMI NI TEAM MUZIKI MUZURI

Period inakusumbua venyee na mwezi umeonekana kwa taarifa ako tuzo za MTV zote ni sawa na mtonyo ni uleule upate sijui tuzo gani sijui ipi kikubwa tuzo........hope davido next month he will come to end up ur MP

All da best!
 
Back
Top Bottom