Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Davido banaa unajua sana wew zako ni tuzo za maana unenguaji waachie akina ndomolalaaaa
 
Last edited by a moderator:
kumshindanisha davido na domo ni sawa na bajaji mbovu na noah mpyaa au mlima na kichuguu

Hahahaaaaaa team ndomo wanajua domo kwa davido bado sana ndo maana dakika za mwisho wakashtuka wakakubaliana wa vote sana kwenye kipengele ambacho davido hayupo la sivyo wangekufa leo
 
Wamefufuka.Hizo nguvu mnazozitumia kujipendekeza kwa davido ni bora mngekua mnamshauri mzee wa madaladala nae abadilike walau tumuone huku MTV japo hata kushiriki tu.

hahaha fikra hizo hawana mkuu kuna time walikua wanamwomba aachie hyo collabo na bella na ifuatane na video isije kua kama cheketua. Hiz level za mond ni baada ya miaka kadhaa na wao wanatambua hilo sema wanajitoa akili
 
Si bora yeye anangoja mtoto, kiba hata kiwanja hana
naona mmeanza kuja pg ya 30 chupi zilikua zinabana
labda ww mi nlikuwepo mda wote hata marekani wangemsaidia kupiga kura bumbum co wimbo uleee ni kwaya
 
Moja yatosha kwa mwaka huu MAMA AWARDS, Nina imani mwakani NANA haitatutosa.!
attachment.php



 

Attachments

  • diamond.jpg
    diamond.jpg
    25.8 KB · Views: 600
Hahahaaaaaa team ndomo wanajua domo kwa davido bado sana ndo maana dakika za mwisho wakashtuka wakakubaliana wa vote sana kwenye kipengele ambacho davido hayupo la sivyo wangekufa leo

Kufa ungeanza kufa wewe uliyekaza ndumku kuanzia juzi Chibu atoke kapa usheherekee
 
Siku imeisha vizuri. Goodnyt ppoz na team watumbuizaji tetete

We mnaijeria? ? Ile tuzo kwa ajili ya wanaijeria..yakwako ni ya utumbuizaj bora.....jivunie na ulicho nacho acha uj.inga
 
Back
Top Bottom