Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

VeeMoney" I lke her hairstyle purple kama suti ya Mondi.. ACT haha
 
Attachments

  • 1437242297095.jpg
    1437242297095.jpg
    88.6 KB · Views: 2,203
Mkuu unadhan kutumbuiza (Best live) ni kukata mauno na kucheza kifua wazi kama wana maswezi jukwaani?
Kama viungo si sehemu ya utumbuizaji hebu twambie utumbuizaji ni nini?
 
Naona naulizwa swali la kujitoa ufahamu kama we unadhan kukata mauono ndo best live basi wakongo wakina Fally ipupa wasingekuwa kuwa na mpinzani kwenye hii category.

Hujui kuimba live basi kaa pemben, hapa leo ndio mtapata somo kwann mtumbuizaji bora alipewa Kiba mpiga live show na sio chibu anayehemea kwenye maiki kama mwana riadha.
 
Mwanzo mgumu lkn ndo katoboa hvo years to come akiwa anajitahidi hv hv atachukua tu. Kwa sasa ni ngumu kumpiku Yemi sawa lkn alipofika nipakujivunia sana. Wasanii hujivunia ata nominations tu.
Anaweza kumpiku kama majority vote ndio zina toa mshindi!
 
Naona naulizwa swali la kujitoa ufahamu kama we unadhan kukata mauono ndo best live basi wakongo wakina Fally ipupa wasingekuwa kuwa na mpinzani kwenye hii category.

Hujui kuimba live basi kaa pemben, hapa leo ndio mtapata somo kwann mtumbuizaji bora alipewa Kiba mpiga live show na sio chibu anayehemea kwenye maiki kama mwana riadha.
Speaking of Alikiba hakustahili ile tunzo hata yeye ana fahamu hilo!
Utumbuizaji ni zaidi ya kuimba live...utumbuizaji una ambatana na kukonga nyoyo za mashabiki uwapo stagini..! Utumbuizaji una ambatana na kuwafanya mashabiki wacheze na wewe .....!
 
Naona naulizwa swali la kujitoa ufahamu kama we unadhan kukata mauono ndo best live basi wakongo wakina Fally ipupa wasingekuwa kuwa na mpinzani kwenye hii category.

Hujui kuimba live basi kaa pemben, hapa leo ndio mtapata somo kwann mtumbuizaji bora alipewa Kiba mpiga live show na sio chibu anayehemea kwenye maiki kama mwana riadha.

Najuwa team haters mioyo inawaenda mbio kama mshale wa saa mbovu hahaha

Huyo kibakuli wenu hana lolote wala hafahamiki huku.. Diamond ndio msanii pekee ambae ametoa performance sehemu zote za muhimu tatu za mtv..
 
Back
Top Bottom