Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Hongera Kidingi kwa kuniquote


Unaweza kunionesha tusi nililotukana?

hujanielewa brother... reply yako ilikuwa kurekebisha mtu ndio maana nikasema ni vyema kutoa heshima ya uzi kutoa pongezi ndio uanze kurekebisha watoa insults....


Pongezi saaaan mkuu Tanzania kwenye ramani si mchezo
 
Last edited by a moderator:
CKODKfbUEAAEpQl.jpg

[h=2]MTV MAMA 2015 : DIAMOND PLATINUMS ASHINDA TUZO YA KWANZA BEST LIVE [/h]
 
+kuna watu waliapa Mondi akichukua watakuny* wapi Sijui mpaka wapiwapi haya kesho mchana kweupeee fanyeni yenu
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
+Halafu mjipige maselfie mtuletee hapa tuone
 

Attachments

  • 1437249900655.jpg
    1437249900655.jpg
    14.3 KB · Views: 327
  • 1437249935224.jpg
    1437249935224.jpg
    14.4 KB · Views: 324
Back
Top Bottom