binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,108
- 34,403
walah nina furaha...ungekuwepo hapa ningekupiga hata vitatu vya offer.....hahahahahah
Hohohooooo (devil's laugh) etiiiiiiiiii? ?????
walah nina furaha...ungekuwepo hapa ningekupiga hata vitatu vya offer.....hahahahahah
Mkuu ili ufanikiwe unahitaji marafiki...lakini ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui
Wenzetu wapo serious kwa kweli sisi tunacheza tu
kwani davido alikuwepo kwenye hiyo category
ivi nyie timu kibakuli mbona hamjielewi tulien bwana wanaume tupo kazini ebooooooo
Thanks mkuu. Inaandikia access denied japo nililipia azam plus. Any idea?
Personality of the year ni trevor noah
Kuna nini kwani?
Mara ya 20 unaniita..
Kwani vipi?
YEMI ALADE apige zoezi aisee khaaaaa so kwatako hilooo
Diamond ana perform NANA sasa