Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

hata kama diamond kachukua ila wabongo kwa Figisu tu nimewakubali...yaani wakaunda hadi account insta kushawishi Daimond asipigiwe kura...kama Diamond ameweza kuruka kihunzi cha figisu za wabongo hadi kutoboa basi he is unbreakable
 
Hii ni tunzo maalum kwa yule aliye kuwa ana jiita vampire wa Wema!
 
hata kama diamond kachukua ila wabongo kwa Figisu tu nimewakubali...yaani wakaunda hadi account insta kushawishi Daimond asipigiwe kura...kama Diamond ameweza kuruka kihunzi cha figisu za wabongo hadi kutoboa basi he is unbreakable

Mkuu ili ufanikiwe unahitaji marafiki...lakini ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui
 
hata kama diamond kachukua ila wabongo kwa Figisu tu nimewakubali...yaani wakaunda hadi account insta kushawishi Daimond asipigiwe kura...kama Diamond ameweza kuruka kihunzi cha figisu za wabongo hadi kutoboa basi he is unbreakable
If God says Yes..
 
ivi nyie timu kibakuli mbona hamjielewi tulien bwana wanaume tupo kazini ebooooooo
 
Mwaka jana pele alichukuwa mchezaji bora wa ureno, c.ronaldo akakosa.. afu mchezaji bora wadunia akachukua Ronaldo

Kama Ronaldo sa tweeende sankoro sankororo oyooooooooooooooooooooooooooo
 
Back
Top Bottom