Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,551
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
Kesho asubuhi anza kwenda posta mtupu, diamond keshabeba, tena nenda asubuhi sio usiku
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
acha kuni enjoy ww subiri huyo vanesa wako apigwe na yemi alade
hahahahahaha........
Jamani siamini mimi!siamini jamani mpaka nalia!siamini mwenzenu,tumetukwanwa sisi!tumedharauliwa sisi
bas nashukr ewe shangingi wa kikesho...ga baba yako we si ndo ulianza
acha kuni enjoy ww subiri huyo vanesa wako apigwe na yemi alade
hebu sema basi tatizo nini kwani imekwaje?
network inasumbua huku kwangu jamani!siamini mimi,siamini hakyamungu siamini uuui uuuwwiii
Naamini Diamond atarudi na mtumbuizaji bora hizi ni hisia zangu maana hizo category nyingine zimekaa vibaya sana.
Usilale ngoja na hizo mbiliwoyooooooooooooo!!!! hako kamoja tu kamenipa usingizi nalala.
walah nina furaha...ungekuwepo hapa ningekupiga hata vitatu vya offer.....hahahahahah
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.
Jamaa akipata tuzo hata 1 mi naenda posta nikiwa utupu.