Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

ImageUploadedByJamiiForums1437249314.179076.jpg ImageUploadedByJamiiForums1437249343.065504.jpg ukilinganisha show za neyo Marekani Na hii ya Leo ni tofauti kabisa kazungukazunguka tu kaondoka mimi nataka chenji yangu
 
Unahama kutoka kwenye tuzo mpaka kwenye nyumba !! Una tabia za kike jirekebishe

Mkuu habariiiiiiiiiiiii

Naona kwa ustaarabu zaidi ungeanza na kutoa pongezi ndio uje ku deal na insults au sio

oyooooooooooooooooooo i love is my kantrii
 
Mkuu habariiiiiiiiiiiii

Naona kwa ustaarabu zaidi ungeanza na kutoa pongezi ndio uje ku deal na insults au sio

oyooooooooooooooooooo i love is my kantrii

Hongera Kidingi kwa kuniquote


Unaweza kunionesha tusi nililotukana?
 
Last edited by a moderator:
Diamond Kama almasi au dhahabu ya kale inayopatikana Dubai pale kwenye jengo refu kuliko yote duniani mnaomchukia nahisi hata nyie hamjipendi!! Goo diamond
 
Back
Top Bottom