Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Team kajamba nani lae watakoma
Wameshikwa na matumbo ya kuhara
Team kajamba nani lae watakoma
chezea kuchanganyikiwa wewe
exactly hata mbuyu ulianza kama mchicha the more anaperform kwa majukwaa makubwa na watu waliofanikiwa anajifunza na kuadvance... kikubwa diamond ni mtu wa kuchangamkia fursa na kujiongeza kadiri anavyojifunza
Congratulations chibu
Big sana mond bendera imepepea vema
pole sana ....mtafute cute b mfarijiane
Hongera diamond platinum kwa ushindi you made us proud. Hongera
saaana mkuuu oyoooooooooooooo best live i lavu iz mai kantri oyooooooooooo no wandaz he is the best yu know
Basi mkuu inatosha.. Alikiba legend wetu.. Tumuache apumzike kidogo lets talk about kivipi tumewagalagalza mpaka tumebeba hili lotuzo oyooooooooooooooooooo
Azam tv wanaonyesha chanel gani?
Moja hiyo hongera chibu, bado mbili
Ya kilimanjaro yale yalizidi.....zile hazikuwa tuzo zile....
Unajua kuna sehemu ukishindwa ...unasema yes nimeshindwa kihaki ...sio na Mfalme asiye na nyumba ya kuishi
saaana mkuuu oyoooooooooooooo best live i lavu iz mai kantri oyooooooooooo no wandaz he is the best yu know
Mwakani wakiendelea na upuuzi wao Mondi bin laden ajitoe kwenye tuzo zao
yaaani kwa Tanzania hii...katika sekta zote amebaki chibu tu anaewakilisha vyema nchi....kila kitu tumeshindwa
yaaani kwa Tanzania hii...katika sekta zote amebaki chibu tu anaewakilisha vyema nchi....kila kitu tumeshindwa
Hivi utoto utaachaga lini?
Unaboa mpaka.Muda wote unawaza ujinga ujinga....unawawaza hao hater kuliko unavojiwazia wewe na maisha yako.
Utatokwa roho bure na haya mambo ya ushabiki.