Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

acha ufinyu wabakili wewe.. katika nilivyokutajia wanaangalia uwe full paçkage kwenye kila sector sio unaangalia sehemu moja..

Ndio maana shuleni kwenye masomo 5 unaweza ukaongoza somo 1, and still in average ukapigwa bao...

Kichwa kigumu kwasababu umezoea daladala tour mtvmama wapi na wapi kijana hahahaha
acha kigeugeu ww Kidingi c umeandika mwenyewe au hujaona
 
Last edited by a moderator:
Jamani siamini mimi!siamini jamani mpaka nalia!siamini mwenzenu,tumetukwanwa sisi!tumedharauliwa sisi
 
wizkid mwaka jana alikuwa na nominations 3, hakupata hata tuzo moja...
psquare the same tuzo za mtv mara ya mwisho sijui ni lini,.. kati ya mastaa wasio na nyota na tuzo psquare wanaongoza...

Na sio kama anajiamini, yeye alishasema tuzo hazinifanyi kuwa msanii bora, kila mtu na msimamo wake..

Mbona hukumuongelea kibakuli alivyomppigia magoti wema amsaidie ktma??

hahahahahaha chukua like na bia baridi upendayo nitalipa
 
Inashangaza africa wanamrecognize kama best live act ila kibongo bongo hamna kitu..!huyo ndo mond
 
Back
Top Bottom