Juwaine
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 624
- 170
Domo Nooma kapiga ya kwanza
We mdomo wako mdogo unakipi ka si mimavi na miharufu you haders
Domo Nooma kapiga ya kwanza
Najua kina wema kule vyupi vinawabana
+Mmamae na kina dogmasta wao huko habari wanayo
aahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Neyo in da house nowwwwww
Mpaka sasa chibu kashaweka moja Kibindoni
Proud of you dangote..endelea kuwachapa
We mdomo wako mdogo unakipi ka si mimavi na miharufu you haders
Hongera diamond platinum kwa ushindi you made us proud. Hongera
Mwakani wakiendelea na upuuzi wao Mondi bin laden ajitoe kwenye tuzo zao
Hapana usitoa ushauri wa namna hii kila tunzo zina madhaifu yake..
Du😀😀😀😀😀
hapa nakwambia wale mademu wanaanza period ghafla