Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Live updates Mkutano wa Dr. Slaa Morogoro.

Binafsi namkubali Dr. Slaa, lakini wapenzi, washabiki na wanachama wa CHADEMA watambue inahitajika mipango na mikakati thabiti ili ndoto ya URAIS 2015 itimie,vinginevyo yatatokea yaliyomkuta LAILA ODINGA. Kila mmoja atimize wajibu wake.
 
Mkuu laurence pamoja sanaaaa.. Pokea Like langu

peopleeeeeeeeeeeeeeeeee.... Naona shelui a.k.a mwiguru madelu lameki mchemba anaumiaa sana akiona hvi

r.i.p masisiemu woteee
 
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.

Hapo anadhihirisha kuwa yeye ameumbwa dume. Vipi nyie wazee wa Liberali? Tuwaweke wapi watoto zetu wa kiume?
 
Naamu salaam hii

Dogo nimekubali, umetaka kusababisha kifo kwa rafiki yangu Gamba moja limeanguka na kuzirai, kwani hakuamini suhemu ambayo Kinana ametoka hivi karibuni kupata nyomi ya nguvu hivi bila kuwepo Diamond au nanii vile Na-UPE. Sasa ndo natoka kumpeleka hospitali. Endele kuleta mambo dogo
 
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.

hata mimi ndio ugonjwa wangu,mimi ni mwanaume rijali.
mkuu Sumu kwani wewe si riziki hata usipende??
mbona hata CLINTON yalimshida??
 
Last edited by a moderator:
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.

hata mimi ndio ugonjwa wangu,mimi ni mwanaume rijali.
mkuu Sumu kwani wewe si riziki hata usipende??
mbona hata CLINTON yalimshida??
 
Last edited by a moderator:
dogo nimekubali, umetaka kusababisha kifo kwa rafiki yangu gamba moja limeanguka na kuzirai, kwani hakuamini suhemu ambayo kinana ametoka hivi karibuni kupata nyomi ya nguvu hivi bila kuwepo diamond au nanii vile na-upe. Sasa ndo natoka kumpeleka hospitali. Endele kuleta mambo dogo

tumuombee huyo jamaa asife ili aone muziki wa cdm 2015,.....
Lumumba hapo nasikia wanafunga milango sasa wanakimbia... Nape anawaambia leo hawalipi buku 7 coz walimwambia leo moro cdm inadoda... Badala yake hawaamini wanachokiona... Na bado...
Majambazi ya ccm yakiongozwa na kikwete roho zinawadunda kama watafika 2015 salama....
 
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.

Una bahati mbaya kuzaliwa na changudoa, hivyo umekosa malezi mema, pole sana.
 
Ndivyo ambavyo hali ilivyo na inaendelea kubadilika kwa wingi wa watu,wenye midomo oooooh CDM Moro haina wadau tizameni sasa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1370091024581.jpg
    uploadfromtaptalk1370091024581.jpg
    66.4 KB · Views: 3,138
  • uploadfromtaptalk1370091063061.jpg
    uploadfromtaptalk1370091063061.jpg
    66.6 KB · Views: 155
  • uploadfromtaptalk1370091103020.jpg
    uploadfromtaptalk1370091103020.jpg
    65.2 KB · Views: 145
  • uploadfromtaptalk1370091194383.jpg
    uploadfromtaptalk1370091194383.jpg
    119.8 KB · Views: 137
  • uploadfromtaptalk1370091264982.jpg
    uploadfromtaptalk1370091264982.jpg
    55.5 KB · Views: 143
  • uploadfromtaptalk1370091307971.jpg
    uploadfromtaptalk1370091307971.jpg
    66.5 KB · Views: 145
Jua ni kali sana lakn bado haizuwii wana CDM kufika hapa mkutanoni
 
Chadema, pigeni kazi taifa hili linataka kusambaratika kwa sababu tuliyemkabidhi uongozi mwaka 2005, hajali tena utawala bora, anataka mahakama imilikiwe na ccm, bunge wamiliki macc, polis ndo hivo na hata tbc taifa wanataka iwe tbc ccm!. Ama kweli ccm ni janga!
 
Baada ya kukamilika kwa mahafali ya CHASO ambapo Rai.s Dr. Slaa alitunuku nishani na vyeti kwa wahitimu 183 wa Wanachama wa CHADEMA, kwa takribani saa moja sasa Barabara za mitaa ya manispaa ya Morogoro zimefungwa kupisha msafara WA magari na maandamano ya kuelekea vilipo viwanja vya mkutano. Viwanja vya sabasaba vimejaa tangu saa saba. Nitaleta picha

asante mkuu , mpaka kieleweke
 
Una bahati mbaya kuzaliwa na changudoa, hivyo umekosa malezi mema, pole sana.

mkuu Kilaga achana na Mlibelali huyo a.k.a Mlesiabiani....
achana naye... najua anaumia kuona huo umati, ambao umekuja wenyeweeeee kwa gharama zao mbali ya umaskini walio nao, hapowamekuja bila kuahidiwa buku5, bila khanga, wala kofia, wala chumvi, wala malori ya kosomba watu,
MASISIEMU NA MAGARI.jpg CCm2010 malori.jpg View attachment 95949 ccm moro 21 04 2013.JPG
hapo hakuna cha maro, wala barnaba wala muonyesha makalio a.k.a domo daimondi, wala cha wote lina (tobo)
 
Wenye vibinti vyao wavichunge kwasababu babu ndiyo ugonjwa wake huo.

Fikiria vizuri kwa kushirikisha akili yako kabla ya kuandika. Dr. slaa sio yule jamaa wa Jimbo La iramba Magharibi. Acha kutumika, tumia akili zako ulizopewa na mungu.
 
Back
Top Bottom