LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

LIVE UPDATES: Mkutano wa CCM Morogoro

Abood ndie kaongea mambo ya msingi, masuala yanayowahusu wananchi, ujasiriamali, maji, huduma za msingi, na jinsi wafanyabiashara ndogondogo wanavyosumbuliwa
 
Wakuu nimesikia nape kasema mbowe alipata zero form six na mnyika hakumaliza chuo alikimbia hili lipoje wadau?
 
Namsikia Nape anahutubia kuwa mwenyekiti wa taifa wa chadema alipata division zero form four na msemaji wa chama alikimbia chuo kikuu bila kumaliza masomo yake.

Hizi habari ni za kweli makamanda?
kwani mulugo vyeti ni vyake, ina maana hao waliopata zero form 4 hawafai kuwa viongozi?
 
wanatambulishwa wakuu wa wilaya za busega,iramba na mvomero,ni dhahiri CCM Imezidiwa,maDC wanaletwa kwa kazi gani.
 
Kitndawiliiii tegaaaaa, nimefanya na nitafanya, nani zaidiiiiii jibu nimefanyaaaaaaa
 
Tupieni picha wakuu mlioko live from moro
 
Naona bwana Kinana na comrade Nape wamesambaratisha kabisa ka wingu cha upinzani mkoani Morogoro.

Wapinzani wapatao zaidi ya 800 wamerejesha kadi zao za vyama vya upinzani kwa bwana Kinana.

Kati ya hao wapinzani waliorejesha kadi, zaidi ya 750 ni kutoka CHADEMA na idadi iliyobaki ni CUF na TLP.

Lakini mafanikio makubwa ya ziara hiyo ya bwana Kinana ni kupata wanachama wapya zaidi ya 4000, ambao hawakuwa na chama chochote cha siasa.

Kweli CCM ni kiboko yao.
 
Hivi nimemsikia huyo nepi akisema cdm viti maalum wake, dada, kaka na shemeji zao. Huyo riz si ni kiongozi uvccm bagamoyo, je hussen mwinyi, january makamba, vita kawawa, huyo nepi mwenyewe na wengine. Kweli nyani haoni ----- lake. wameona watu wa kuwadanganya wachache ndo maana wamezoa watoto wa chekechea na primary wengi ili mkutano uwe na watu wengi.
 
Mkutano wa magamba unaonywesha live tbc. Ninaona badala ya kueleza wananchi wamefanya mini wanawaburudisha na vikundi vya wanamziki ili kupoteza miss.
Mkuu nisaidie hili lambowe kupata zero form six lipoje sijalijua vizuri nipe ukweli mkuu.
 
Back
Top Bottom