Viongozi wao wamekaa muda mrefu madarakani lakini watu wakitaka kuwaondoa kwa demokrasia wao wanasema ni ccm
Kiongozi wa upinzani hasomi na hafanyi utafiti wala hasomi
Watu hawaendi kwenye mkutano kumwona diamond au ze comedy wanaenda kusikiliza sera, kwenye tv hawa tunawaona daily
Hahaha hahaha hahaha duu mkuu umeongea point kubwa mno, maskini tembo wetu 🙁moro na mikumi sio mbali,nawaomba muweke ulinzi imara kuwanusuru TEMBO!
meya wa manispaa ya MOROGORO leo hii akiongea katika mkutano wa CCM,amesema CHADEMA wanatabia za bata za kuharisha hovyo hovyo! Mazuri yote yanayofanywa wao hawayaoni kazi kulalamika kila kukicha
Kuhusu tembo hajaongelea? kuhusu maisha magumu ya watz kama mfumuko wa bei kutoka sh. 500/ kwa kg wakati wa mkapa hadi 2500/.kuhusu EPA,KAGODA, MEREMETA hajaongea.Kuhusu wanafunzi wa darasa la saba kuingia kidato cha kwanza kwa alama 70 hajaongea? kuhusu kufeli wanafunzi wa form four kiasi ambacho hakijawahi kutokea tz hajaongea? Kuhusu matusi ya Lusi,Nka,gulu hajaongea. Hongera sana mkuu naona JOIN DATE 8/4/2013 lakini post zaidi ya 700 ukipiga hesabu mara 7000=4,900,000/ kidogo maisha yanaenda.:rockon:Kinana anaendelea na hotuba na anasema amefatilia na kufanikiwa kutatua tatizo la wakulima wa miwa kilombero
CHADEMA ilisha tajwa mara 300 CCM mara 80
Miss strong hata wewe hauna mashiko, mbona ccm wabunge wa viti maakum ni wake zao na hatusemi? Mbona sarah msafiri wakubwa wanakula hatusemi? Mbona wewe unaliwa hatusemi?Pumba tupu hapa za Seif khatib....et viti maalum chadema wengi wake za watu wa humo chadema.Hiyo hoja haina mashiko hat kidogo.