SW: nawaambia wale wote wa social media (JF) kwa kusema kuwa nimekacha mdahalo lakini ndo nipo sasa.
SW: katiba ina sura mbili
i) ya kisheria
ii) ya kisiasa na maridhiano.
SW: Je bunge la katiba lina kazi gani, na tumekutana dodoma kwa kazi gani?
SW: kwanza tulitengeneza kupitia sheria ya katiba mpya kupitia wanasheria wakitea AG,TL, MAHALU na wengineo.