Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Hawa UKAWA naona nao wanatumiliwa na CCM ,wanawachezea wananchi ,hivi kwa nini wanashindwa kutumia Mahakama zilizopo kupinga muendelezo unaotarajiwa kuanza tena ? Wana ushahidi wa kila kitu ,hebu atakaekuwepo hapo kwenye ITV awaulize kwanini wanashindwa kuandaa kesi ? Na kumshitaki yeyote yule akiwemo Raisi au Sitta na dizaini ya watu hao !!
 
Nimeshindwa kwenda kumpokea mke wang nasubir mdahalo nipate ukweli wa mambo

Mkuu nimemwona anakula bata kitaa na mshikaji, nenda kawabambe,...,Mkuu usidharau hii taarifa. Kwa sasa fuatilia utaona!
 
Kama TanescoCCM wamekata umeme tunr on Radio One..

Tunangojea kwa hamu zote..
 
Bwamdogo ccm imewekeza kila kona inajali watu wake

Ndg kama kweli ccm imewekeza wa2 wake kila kona, leteni kura ya maoni ya uwepo wa muungano wa serikali 2 dhid ya serîkali 3. Ujionee uwekezaji wa ccm ulivyo dhoofka.
 
atakaekuwepo hapo kwenye ITV awaulize kwanini wanashindwa kuandaa kesi ? Na kumshitaki yeyote yule akiwemo Raisi au Sitta na dizaini ya watu hao !!
 
Masako ameshamkaribisha Mwakitwange........katika utambulisho wake hakumtaja Ndugu Pole Pole
 
Rose mwakitwange(muongozaji) anawaomba wageni waje mbele na anasisitiza kuvumiliana na kuheshimiana kwenye mdahalo.
 
Back
Top Bottom