Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Kila Wassira anapozungumza kunakuwa na minong'ono
 
Raia hawakubalian na wasira kuna zogo!”anadanganya waziwazi
 
Prof. Lipumba:
Tunaunga mkono mawazo yawananchi bila kujali kuwa sisi tulikuwa na mawazo gani hapo kabla kwa hiyo na wenzetu wajali.
Wassira aanafuata na anazomewa ahapa.
Mimi si shabiki ila naongea ninachokiona.
Wassira analeta zile hesabu mbovu za darasa la tano za yajwimu.
 
Ila mbona wamebase sana katika swala la muundo wa serikali 3, 2, 1 na mkataba bila kugusia vipengele vingine vilivyokwamisha kupata katiba mpya!
 
Wassira bado anasema mawazo mengi yaliyowasilishwa ni ya wachache....u can't infer the result u got from the sample to the entire population....anapata makofi kwa mbali
 
Wassira maoni mengi ya S3 yalitoka Kigoma. Maoni hayo ya Kigoma hayawakilishi Tanzania nzima. BMK linauwezo wa kufanya marekebisho ya rasimu
 
Wassira:kuzikubali takwimu za tume ni msaada mkubwa kwetu, Je baada ya maoni ya tume mmesikia wale waliotaka yamkataba wakilalamika? "Lipumba"
 
Wassira anaonekana anajiamini sana, ajibu hatua kwa hatua.
 
heko wasira sample ya watu 17,000 kati yao 7,000 wakitoka Kigoma ni BIASED sampling hiyo.
 
Tundu Lissu anatoa wosia upande wa ukawa upunguze kelele
 
Kazi ya bunge la katiba si kusoma tu rasimu na kupitisha tu itakuwa ni nini maana yale ya watu 600 kuwepo pale-Wassira
 
Tena Wassira nd'o kaharibia CCM kabisa. Anakubali takwimu za Tume kuwa wengi Bara wanataka s3 ambazo CCM wamekuwa wakiziponda.
 
Tundu lisu mjanja kaishaanza kuvuruga vichwa na kuvichosha kwa kuingiza siasa za kina kisanga
 
Back
Top Bottom