Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Well done Wassira...akina Lissu hata mahesabu hawajui.
 
Tofauti ya Wasira na Tundu lisu ni kwamba,Wasira anatumia majibu na hoja za mifano ya kawaida ambayo mtu yoyote anaielewa kwa hoja za kila mwananchi kuelewa na TL yeye anatumia takwimu na maandishi ambayo yanatumika na kuwekwa hapo ni kutuchanganya tu sababu kila atakaenyanyuka ataonekana mzuri.sababu wanatumia njia tofauti za kujieleza
 
Kama Mashehe na maaskofu wanaweza kuhongwa hela @ Lissu, basi UKAWA mnaweza kuwa mmeongwa na maadui wa TZ ili kuvuruga mchakato kagame.
 
Last edited by a moderator:
UKAWA wamebaki kuisambana na viongozi wa dini na Lissu ana ropoka tuu sidhani kama ana ushahidi hao alio wataja.
 
lipumba anamwambia kama hawatachakachua theluthi
mbili a zanzibar hawatapata
 
Hivi kwann vijembe vya chama na siasa kwenye katiba kwanini.isiwe kama mwananchi na katiba
 
Idadi iliyobaki 346 ya wajumbe kutoka Tangnyika baada ya ukawa kutoka na sheria inaruhusu wao kuendelea na mchakato na Zanz imetosheleza akidi ya wao kupitisha maamuzi bungeni ila wao CCM hawewezi kupitisha bila maridhiano na wenzao-Wassira
 
Wassira amefunika pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Lissu hoiiiiiiii
Lipumba houiiiiiii

Chezea Tyson weweeeeee
 
Back
Top Bottom