Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

CCM chama cha MAHAFIDHINA ndio wanaotaka kuwazuia watanzania wasipate Katiba mpya.
 
Anayezuia mchakato huu ni hao wasiotaka kuingia bungeni kutokana na mujibu wa sheria-Wassira
 
Ukiwa na akili za kawaida na kumsikiliza Wasira utagundua walakini mkubwa ni kama mtu anaetetea kuacha au kuachwa mke
 
Naona Wassira anazidi kuwachoma UKAWA!
 
Kanuni inayohusu kuingiza kanuni mpya katika bunge eti iliondolewa wakati hawakuwapo! muongo mkubwa na kwa nini walitoka bungeni? kama walijua haya yangetokea!?
Mbona kama unaunga mkono hoja ya LISSU kwamba wameongeza kanuni baada ya wao kuondoka
 
Wassira anasema kuwa anayekwamisha katiba ni yule anayekataa kwenda kwenye bunge maalum. Wassira anasema kuwa katiba ya nchi haitungwi Kibanda Maiti au Ubungo.
 
tofauti ya UKAWA na Wasira ni kwamba Wasira anaongea kivijiweni zaidi hana facts
 
Ukawa kama wanaamini wananchi wapo nao waje bungeni na rasimu ikapigwe kura na wananchi nani ataibuka mshindi-Wassira
 
Tatizo ni kuleta malumbano ya kisiasa kwenye masuala ya kisheria hii ni katiba ya nchi na wanachi sio ya chama wanatumia katiba kama sehemu ya kunyoosheana vidole ili kujiongezea umakini wa vyama vyao.hii ni mbaya sana sababu inatakiwa kuwa na katiba ya kuwaonyesha wanachotakiwa kufanya ili watengeneze katiba ya wote
 
CCM wanang'ang'ania sana kwa wananchi maana wanajua jinsi ya kuchakachua.
 
Wasira kalielewa swali la Husna lililoelekezwa kwa Tundu Lisu alieshindwa kulijibu - endelea na bunge maalum na linapoisha waende kwa wananchi ndo wataamua finally
 
Kwa kweli UKAWA ndio wanachelewaesha na kuzuia katiba mpya. Kama sivyo waje bungeni na mwisho wananchi watapiga kura. Katiba haiwezi kupatikana Kibanda maiti au Ubungo .Tundu alikuwemo ktk uteuzi wa wajumbe 201 asidanganye umma.
 
Wassira anamuambia Lissu akawaombe radhi maaskofu na masheikh kwa ujinga aliosema leo bungeni
 
Wasira hakuna kitu,eti TL ndio alishauri taasisi za kundi la 201,sasa hapa tunaongelea asasi au representative wake
 
Wassira anamtaka lisu aombe radhi? Kweli amekengeuka
Kingunge anawakilisha waganga, we all know ni ccm
Mtetemela kaenda kuwakilisha CCT tunajua huyu mzee ni ccm
Sheikh Jongo ni ccm. Na wengine wa sampuli hiyo
 
Tundu anajikanyaga... aibu tupu! anaanza porojo za taarifa.eti maalum ya siri hajibu hoja anasoma kijinyaraka chake.
 
Wassira anasema Lissu awaombe msamaha Maaskofu na Masheikh maana hoa alio wataja wametokana na asasi za kidini na ambazo ni swala la kisheria!
 
Back
Top Bottom