Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Tundu Lissu hakuna ni muongo aliyekubuhu, kanuni zilitungwa zikamalizika wakaanza kujadili rasimu hayo mabadiliko yalifanyika lini?
 
Tundu acha kujichanganya, kuboresha maoni ya watanzania ndio nini? Unapingaje kuwa serikali mapendekezo ya serikali mbili si maboresho?
Lissu kachanganyikiwa. Anasema kuwa maaskofu na masheikh ni watu wa ccm. Sijui ukawa ni wa nani
 
Wajumbe wasiokuwa wanasiasa wao wengi sisi ndo tuliopendekeza hilo na hao 201 wajumbe 161 ni wa CCm -Lissu.
 
Tundu lisu anasema hadi wawakilishi wa dini ni wale wale wametumwa na ccm
 
Kama maaskofu na mashekhe ni CCM, basi ukawa mnahatari maana watumishi wa Mungu hawakonanyi @ LISSU.
 
Mchakato unavurugwa na Mahafidhina ndani ya Chama Cha Mapinduzi...By Prof. Lipumba
 
Wasira ana hasira sana afai kwenye huu mdaharo
Ndugu wanabodi,

Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole.

Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo.

Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.

KARIBUNI
 
Lissu analalamika kuwa zimebadilishwa kanuni baada ya wao kutoka. Yaani hadi anatia huruma
Lissu ameshindwa kusema kama kipengele kinacho ruhusu bunge la katiba kurekebisha na kuondoa,kuongeza chochote kwenye Rasimu.
 
Back
Top Bottom