Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,075
Wassira amelala
Ukweli mtupu wapo kutetea ccm tu.Tundu lisu anasema hadi wawakilishi wa dini ni wale wale wametumwa na ccm
Mchakato unavurugwa na Mahafidhina ndani ya Chama Cha Mapinduzi...By Prof. Lipumba
CCM wanazuia katiba mpya,ametoa facts,rejea kauli ya Kinana,Werema na waraka wa siri-Tundu lisu
Kama maaskofu na mashekhe ni CCM, basi ukawa mnahatari maana watumishi wa Mungu hawakonanyi @ LISSU.
Katika serikali hii hii ya CCM, ambayo hata mimi najua kabisa imetusababishia hali ngumu wananchi tuliowengi, bado kuna baadhi ya wizara hazipewi fedha ipasavyo kutoka hazina; na ukijua sababu nini, utasikitika sana. So, binafsi napenda serikali tatu, lakini iwe na namna bora zaidi ya mapato yake, lakini si hii ya kuchangiwa na nchi washirika ambazo zitakuwa tayari zinafikiria zaidi namna ya kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wake.ndio mnajidanganya hivyo?
We boya sana. unanukuu upuuzi mtupu.
Mchakato unavurugwa na Mahafidhina ndani ya Chama Cha Mapinduzi...By Prof. Lipumba
Anayezuia mchakato wa katiba ni UKAWA wanaogoma kurudi Bungeni.
Lissu ameshindwa kusema kama kipengele kinacho ruhusu bunge la katiba kurekebisha na kuondoa,kuongeza chochote kwenye Rasimu.
Kweli kabisa Mkuu. Lissu ni mwepesi sanaHajataja ni kanuni namba ngapi acha kuburuzwa Msukule we.
Lipumba anazidisha malalamiko bila ya hoja
Tundu Mburula anadai walio wengi ambao wanawajumbe zaidi ya 201 eti ndio wanaozuia! jamaa jinga sana.
kwani tundu hawaamini wananchi?.wananchi ndo itafika zamu ya kuikubali ama kuikataa.kwanini wana pre empt mchakato?
kwani tundu hawaamini wananchi?.wananchi ndo itafika zamu ya kuikubali ama kuikataa.kwanini wana pre empt mchakato?
Ndugu wanabodi,
Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole.
Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo.
Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.
KARIBUNI
Lissu amesema uongo mwingine kuwa masheikh na maaskofu wote ni wana CCM!