Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Katibu wa ccm ,waziri walisema hawana haja ya katiba mpya hao ndo hawataki katiba mpya-Lissu
 
Tundu kashindwa kujibu swali anadai.eti kina njama za kutopatiwa katiba mpya
 
CCM wanazuia katiba mpya,ametoa facts,rejea kauli ya Kinana,Werema na waraka wa siri-Tundu lisu
 
Kama tunaenda kujadili rasimu tutaenda kama tunaenda kujadili kilichoandikwa kwenye waraka wa siri hatutarudi-Lissu.
 
Tundu acha kujichanganya, kuboresha maoni ya watanzania ndio nini? Unapingaje kuwa serikali mapendekezo ya serikali mbili si maboresho?
 
Wassira hajashindwa swali hata moja nasubiri Lissu aseme ni kipengele gani kimeondolewa kwenye kanuni?

Tukiacha ushabiki, japo audience imembana wasira; tumpongeze huyu Wasira kwa kuweza kufika ktk mdahalo na anaonekana kutokushindwa. Acha nguvu ya hoja itawale
 
Kanuni inayohusu kuingiza kanuni mpya katika bunge eti iliondolewa wakati hawakuwapo! muongo mkubwa na kwa nini walitoka bungeni? kama walijua haya yangetokea!?
 
Lissu analalamika kuwa zimebadilishwa kanuni baada ya wao kutoka. Yaani hadi anatia huruma
 
kanuni alizo zitaja Lissu hazina msingi kabisa! maana kanuni inayoruhusu bunge kurekebisha na kuondoa chochote kwenye Rasimu hipo!
 
kanuni zimebadilishwa lini wakati wakati wa kutunga kanuni walikuwepo wote?.
Ukawa wametoka bungeni mwishoni bado wiki bunge liishe,lini walitunga kanuni?
 
Tundu Lisu anafaa sana kuwa Raisi wa Nchi hii.
 
Back
Top Bottom