Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,056
- 134,377
Jamaa kauliza bonge ya swali kuhusu mawaziri wa bara,tz na zenji.je sio s3
Kimsingi Wassira anakiri kuwa Ukawa wako sahihi
Sijui kwanini kwa baadhi ya watu inakuwa ngumu kuelewa kuwa serikali hiyo ya tatu ikibaki kama ilivyopendekezwa na Tume ya Katiba haiwezi kusimama; sijui kwanini!
Mzee anachofanya ni kujibu majibu mepesi kwa maswali magumu.We unaona ametumia akili?
Hivi wassira mzima kweli?
mkuu Lissu ni muongo ana jaribu kuifananisha Marekani na Tanazania ....... Lissu ni gwiji wa uongo kabisa na amedanganya kuwa sheria zilibadilishwaNafikiri unataka kujinyea kwa nondo za gwiji la sheria Tanzania...Mh. Lissu
Kumbe maswali magumu nk ya kihuni?Naona kuna maswali kibao ya kihuni yanaulizwa
mkuu Lissu ni muongo ana jaribu kuifananisha Marekani na Tanazania ....... Lissu ni gwiji wa uongo kabisa na amedanganya kuwa sheria zilibadilishwa
Hakuna swali gumu hapo kwa Wasira?Wasira maswali magumu sijui ataongea nini
Naona kuna maswali kibao ya kihuni yanaulizwa