Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Ndo maana ya kugalagazwa? Hebu tupe na majibu ya Lissu na Prof. Lipumba

Tundu anadanganya! eti wao walitoka bungeni na kanuni zikabadilishwa! nani aliwaambia watoke? anarudiarudia historia isiyojitosheleza! mara ya kisanga mara nyalali na wote walipata si zaidi ya maoni ya watu 5. jamaa muongo sana yuko bize na mambo ya Aboud Jumbe tu! hana jipya.
 
Tundu Lissu nilishiriki kutengeneza kanuni. CCM wslibadirisha kanuni baada ya UKAWA kutoka waliingiza kipengere kwa kuingiza sura mpya.

Tundu Lissu anawachana CCM wajumbe wanashangilia. CCM ndiyo ktk waraka wao wa siri walisema mundo wa S ndiyo moyo wa Rasimu

Tundu Lisu ni mambo 7 tu ya muungano. S2 zina gharama kubwa. Time ya pamoja ya fedha mapendekezo yake yamekataliwa.
 
Ndg yang mdogo wang, kama serikal ya ccm wapo tayar kwa chochote tunahtaj wananch kwann JK na wabunge wake wawatshie wananch uwepo wa serikal 3 ni kuleta machafuko nchn?

Serekali ina mamlaka na jukumu kujulisha wa nchi wake
 
lisu kadanganya na ameshikwa pabaya! alikuwemo katika kanuni!
 
bang the table - hahahahahahah wasira unatuacha hoi - huyo Tundu Lisu hana jpya katika mdahalo huuu wajameni

Pro Lipumba kachemsha - hajui maana ya Muungano wa Mkataba
 
Hakujabadilishwa kanuni yoyote na kanuni zote zipo zile zile za kina Lissu-Wassira
 
Wassira anasema kuwa Lissu ameshindwa hoja na sasa anaanza kusema uongo. Anapinga kuwa hakuna kanuni zilizobadilishwa.
 
Lisu kashikwa pabaya amedanganya wazi wazi eti wao walikuwa wameshatoka wakati kanuni zikirekebishwa.
 
Lipumba - Kazi ya BMK ni kuangalia namna ya kutekeleza maoni ya wananchi.
Wananchi wanataka serikali tatu, kazi BMK ni kuangalia na kujadili hizi serikali tatu ziweje.
 
Back
Top Bottom