Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

wasira ni jembe - anamwaga arguments za kisayansi. Heko wasira

Tundu lisu mjanja kaishaanza kuvuruga vichwa na kuvichosha kwa kuingiza siasa za kina kisanga
 
Tume ya mabadiliko ya katiba hawakupewa kazi ya kutunga katiba na Tume zilizopita zilikuwa historia-Wassira.
 
Baada ya yeye kuhoji ni maoni gani ccm imeyapuuza?karibu ukumbi mzima umeonekana kumzomea.
Tuendelee.....
 
Anakataaa takwimu zilizotolewa na tume zilizopita kuwa ni historia tu....na ndio maana Serikali tatu hakuna
 
Wassira, Tume ya Warioba haikupewa kazi ya kuandika Katiba. Anataja hatua nne za Kuandaa Katiba kuwa ni
  1. Kukusanya maoni ya Wananchi
  2. Mabaraza ya Katiba
  3. Bunge la Katiba
  4. kura za maoni
Wassira anasema kuwa wenye mamlaka ya kutunga Katiba ni wananchi. Anamshangaa Lissu kwa kutojua historia ya Tanzania
 
Wassira tume ya Warioba haikupewa kazi ya kuandika katiba. Tundu Lissu anakataa rufani. Kama tume zilizopita zilipendekeza S3, mbona S3 hazikupatikana
 
Mh steven wasira amewaambia ukawa kuwa hatua rasmi ya kupata katiba kwa sasa ni bungeni sio barabarani, wasiwadangnye wannchi. Wasira amesema rasimu ya warioba sio katiba halisi bali ninmapendekezo ya katiba. Lazima ijadiliwe penye mapungufu parekebishwe.

Pole sana!
Hayo kayasema Wasira, wewe unasemaje? Nahisi JF kuhangaika na wasira ni kujishusha chini ya kiwango.
 
Lipumba hatari sana...anasema kwa takwimu zilizo sahihi bara na visiwani wanataka serikali 3... anasema kuwa hoja ni kuboresha moyo wa katiba ...
 
SW: Katiba inapatika kwa sheria inayozingatia mambo manne!
i) tume ya katiba mpya kukusanya maoni.
ii) maoni ya mabaraza.
iii) bunge maalum la katiba mpya
iv) kura toka kwa wananchi.

Anamshangaa TL kusahau mambo haya ya msingi.
 
Mh steven wasira amewaambia ukawa kuwa hatua rasmi ya kupata katiba kwa sasa ni bungeni sio barabarani, wasiwadangnye wannchi. Wasira amesema rasimu ya warioba sio katiba halisi bali ninmapendekezo ya katiba. Lazima ijadiliwe penye mapungufu parekebishwe.

Ndo maana ya kugalagazwa? Hebu tupe na majibu ya Lissu na Prof. Lipumba
 
Lipumba anasema wao wanakubaliana na kujadili....kuboresha rasimu ya katiba....ila kuna misingi inayotengeneza katiba....moyo huo haufutwi bali huboreshwa
 
Wasira lazima akimbie,maana leo lazima atalala vibaya anapewa vidonge direct
 
Itv ndo channel ya taifa sio ile ingine ambayo hata watangazaji wake hawaiangalii wakiwa majumbani
 
Lipumba huyu kwani ni Prof kweli? Yaani combination ya Lissu na yeye imeshindwa kabisa kudefeat hoja za ukweli za Wassira
 
Back
Top Bottom