Cloud Computing
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 334
- 85
Wasira "tundu Lisu alikuwa mwalimu wetu wa kanuni"
Mkuu, hayo yatawezekana ikiwa mfumo wa serikali tatu ungepita. Kwa sasa mfumo huo haujapitaHuo ni mfano wa mjadala unaotakiwa kwenye kuboresha muundo wa muungano wa serikali 3.
Mh steven wasira amewaambia ukawa kuwa hatua rasmi ya kupata katiba kwa sasa ni bungeni sio barabarani, wasiwadangnye wannchi. Wasira amesema rasimu ya warioba sio katiba halisi bali ninmapendekezo ya katiba. Lazima ijadiliwe penye mapungufu parekebishwe.
Hii nayo ni thread?
acha uongo, wote tuko humu, Wassira anawaburuza Lipumba na Lissu.
Swali la Wassira ni zuri sanaHopeless Wassira. Eti moyo uko wapi, imeandikwa wapi moyo huku kwenye rasimu??
Ana akili kweli huyu??
Anachojubu Wassira ni uhalisiaWasira anajibu vitu kirahisirahisi