Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Ila hoja za Lissu na Lipumba ziko wapi?Mpaka sasa sijaona Hoja za Wassira..
Ila hoja za Lissu na Lipumba ziko wapi?Mpaka sasa sijaona Hoja za Wassira..
bang the table - hahahahahahah wasira unatuacha hoi - huyo Tundu Lisu hana jpya katika mdahalo huuu wajameni
Na Wassira anajibu vema sanaDada ameuliza swali la msingi sana
Wewe huelewi kinachoongelewa. Tafuta mtu akuambie wanaongelea nnkwanini hawakugoma?kwaninh wamekubali bunge likaanza kama kuna kanuni zimeingia kinyemela.
Lissu ni kichwa..
bang the table - hahahahahahah wasira unatuacha hoi - huyo Tundu Lisu hana jpya katika mdahalo huuu wajameni
Pro Lipumba kachemsha - hajui maana ya Muungano wa Mkataba
Ndugu wanabodi,
Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole.
Pia alialikwa Steven Wassira lakini inasemekana ameingia mtini, hatakuwepo.
Naomba tufuatilie mdahalo huu kwani itatoa mwelekeo mzuri wa mwenendo wa Rasimu ya katiba ambayo sasa ipo njiapanda. Tuachane na propaganda za CCM ambao hawana nia nzuri na upatikanaji wa Katiba.
KARIBUNI