Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

Mh steven wasira amewaambia ukawa kuwa hatua rasmi ya kupata katiba kwa sasa ni bungeni sio barabarani, wasiwadangnye wannchi. Wasira amesema rasimu ya warioba sio katiba halisi bali ninmapendekezo ya katiba. Lazima ijadiliwe penye mapungufu parekebishwe.
anasema hatuwezi kuunda bunge la watu 600 linalolipwa pesa za walipa kodi mamilioni kwa mamilioni halafu halafu wakafanye kazi ya rubber stamp, hiyo itakuwa ni matumizi mabaya ya rasilimali za taifa.
 
Watasema sana midahalo mingi mwisho wa siku wenye nguvu watashinda siasa ktk nchi zetu hizi mwenye nguvu hutawala. Yetu macho na maskio. Bora kutafuta maisha kuliko kuyafuatilia hayo. By the way tunawatakia Mema.
 
Lisu: Tume ya Nyalali ilikuja na serikali 3 same kwa tume ya Kisanga na ile G55 Njelu ...
 
Tume iliambiwa waangalie nyaraka zote za nchi hii na nyaraka zote zilikuwa zinataka serikali 3 na kulinganisha na hali ya sasa-Lissu
 
Tume ya nyalali ilipendekeza s3...kisanga s3.....g55 s3....hivyo kusema wananchi hawataki Serikali tatu ni uongo.....anampiga dongo wassira kuwa hata akiulizwa kuna nchi ngapi hapa kwetu hawezi kujibu.....anapata makofi mengi
 
TL: anafafanua hoja za wasira,anasema sheria ya RKM iliipa tume mamlaka kupitia mambo yote yaliyozungumzwa katika tume zilizopita tangu mwaka 1972 mpaka sasa walidokeza muundo gani wa serikali?
Tangu tume ya nyalali, kisanga, G55 na wengineo.
Anapigia chapuo muundo wa serikali 3.
 
Sheria ya Katiba iliipa Tume mamlaka ya kukusanya na kuratibu maoni ya wananchi ya Katiba Mpya - Lissu
 
Haraka ya nini bwamdogo serekali ipo tayari kwa chochote wanacho taka wana nchi wake

Ndg yang mdogo wang, kama serikal ya ccm wapo tayar kwa chochote tunahtaj wananch kwann JK na wabunge wake wawatshie wananch uwepo wa serikal 3 ni kuleta machafuko nchn?
 
Tundu Lissu anasisitiza utulivu ndani ya ukumbi

Tume ya katiba ilipewa jukumu la kukusanya Naomi lkini pia kupitia kumbukumbuku zote za JMT. Nyaraka zote za serikali zilisema S3.

Tume ikapendekeza S 3 ambayo ni hoja ya Jumbe, G55, Warioba, Kisanga, Nyarali
 
Hii hoja ya serikali ya tatu si ya Ukawa ni ya Aboud Jumbe, Tume yaJaji Kisanga na jaji Nyalali-Lissu.
 
Lissu Tume ilipewa mamlaka yakupitia nyaraka zote za serikali ikiwemo hati ya mungano
 
Wasira ni muongo, mnafiki, na mzandiki aliyekosa utu na uzalendo...watu dizaini za wasira wangekuwa nchi za falme za kiarabu adhabu yao ingekuwa kunyongwa
 
Wassira anasisitiza tume haikupewa kazi ya kuandika katiba....ila BMK la katiba ndio inaweza kufanya kazi hiyo. ..hivyo hawawezi kusoma tu rasimu bila kuifanyia marekebisho
 
Back
Top Bottom