Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,078
CCM walibadilisha kanuni..By Lissu
Lipumba, BMk ni kurekebisha na kuboresha rasimu. Kazi ya BMK sio kunyonga moyo wa rasimu
wassira amekubali atakuwa subiri tuone jinsi ccm watavyoumbuka leo kwenye mdahalo saa tisa itv
Kumbe lissu uelewa wake Wa kisheria in mdogo sana zaidi amebobea kwenye nadharia tu
CCM walibadilisha kanuni..By Lissu
Una hasira za kufukuzwa kazi na serikali ya CCMCCM walibadilisha kanuni..By Lissu
Hivi huyu Lissu ana akili timamu kweli? Anasema kuwa wakiwa UKAWA wametoka, waliobaki wamebadilisha kanuni ili kuongeza sura mpya. Ngoja tusubiri majibu ya Prof Wassira
Anachojubu Wassira ni uhalisia
Ni kwenye mdahalo wa kuhusu rasimu ya katiba.Hana hoja mpya anabaki kutoa historia zilizofeli! source: nimo ndani ya mjadala.
Waraka wa siri naona unatolewa hapo. Ha ha ha ha