Wassira anasema kuwa Lissu ameshindwa hoja na sasa anaanza kusema uongo. Anapinga kuwa hakuna kanuni zilizobadilishwa.
OMG! Kwa mara ya kwanza leo ndio nimekubali madai ya muda mrefu kwamba Tundu Lissu ni mwongo! Haingii akilini kwamba kanuni za Rasimu ya Katiba Mpya zilibadilishwa baada ya UKAWA kuondoka!! Hoja nyepesi mno hii!!! Jamaa yuko "live" ITV.
Wassira atakuwepo Live acheni kupotosha.
Tundu Lissu nilishiriki kutengeneza kanuni. CCM wslibadirisha kanuni baada ya UKAWA kutoka waliingiza kipengere kwa kuingiza sura mpya.
Tundu Lissu anawachana CCM wajumbe wanashangilia. CCM ndiyo ktk waraka wao wa siri walisema mundo wa S ndiyo moyo wa Rasimu
Tundu Lisu ni mambo 7 tu ya muungano. S2 zina gharama kubwa. Time ya pamoja ya fedha mapendekezo yake yamekataliwa.
Ndo cha kujiuliza Mkuu. Ila Mheshimiwa Wassira amewabomoa kweli na kutokana na kubomolewa huko wameanza kusema uongokanuni zibadilishwe ukawa wakae kimya mpaka leo kweli.
Wasira mbabe anawalisha wazenj maneno
Ila hoja za Lissu na Lipumba ziko wapi?