Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Kipre cheche na Boko haram hebu mtungueni huyo Bartez. Ili waanze kurusha ngumi hao kandambili!
 
Dakika ya 27,

Young Africans imefanya mabadiliko anaingia Deogratius Munishi 'Dida' kuchukua nafasi ya Ally Mustapha 'Barthez' aliyeumia

Kazi ipo leo
 
inacho kufanya yanga nikupunguza idadi ya magori tu.

wakuu mliopo uwanjani hebu tupeni tathimini ya mpira huu hasa viwango vya timu zote mbili. Lakini zaidi ya yote ninawatakia wanajangwani ushindi yaani timu yenye sura ya wananchi kwasababu ni club yenye wapenzi wengi zaidi kuliko yote tanzania
 
naona mtoa tu wachezaji wenu na bado..
Naona mmekuja na mbinu mpya ya kuondoa vikwazo/vizingiti kwa kucheza rafu......

Lakini kumbuka.....Hussein Javu yupo benchi.......

Naona leo una 'kifua' cha kukaa mpaka dakika ya 90
 
Dawa ya Azam ni kuwapiga asbh kama tulivyowafanyia leo.
 
Kuna kile kiberenge cha Yanga Issa Mgwao,kile kikiingia ni balaa tupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom