Yanga ndo mpango mzima...............Lamba2 cha mtoto............
Na bado yanga itatisha zaidi kwasababu ina wachezaji waliokaa muda mrefu pamoja. Ndio timu yenye wachezaji bora kabisa katika safu ya kiungo na beki na inawashambuliaji wakali zaidi.
Ninajisikia mwenye furaha kuwa sehemu ya familia hii kubwa ya wanayanga. Long life Dar Es Salaam Young Africans and God Bless U