ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
tunasawazisha sasa hivi..Amina.!,Amina! Amina.
Bado 3 tu
Mbele daima nyuma mwiko.!!
tunasawazisha sasa hivi..Amina.!,Amina! Amina.
Bado 3 tu
Mbele daima nyuma mwiko.!!
Dk. ya 5
Yanga 1-0 Azam
Salum Telela dk. ya 2
yondani analala kabisaa..Yanga inaokolewa na Barthez, bado Yanga 1-0 Azam.
Dua zote kwa AzamAzam 3 Yanga 1...tutaftane badae
mmmhhh still time is there..
Juzi naona uliingia mitini wakati wa game ya City na Gunners.....Hope leo hautakimbia maana mpira ni dakika 90....
Usiwe muoga kiasi hicho....Matokeo yanaweza kubadilika kijana maana goli la mapema mara nyingi huwa halidumu....
COYYFC.....DMNM
Kaka upo?
Mpira una kasi kubwa sana aise lol!
tunasawazisha sasa hivi..
ungeongea kipindi cha pili sio cha kwanza..Kama kona ni goli basi mnaweza kushinda.
pole zake..Yondani out-Twite in!
Dua zote kwa Azam