Itakachokifanya YANGA leo, tutabaki peke yetu jukwaani hapa!
ha ha ha
Itakachokifanya YANGA leo, tutabaki peke yetu jukwaani hapa!
Sio atasemanini, nitashangilia stile gani?mimi nasubiri dk 90, nisikie KITOABU atasema nini.
Ndivyo unavyo jiongopea hivyo? Ngojeni tuwapasue leo.matokeo wanayajua, wanasubilia idadi ya magoli tu
Kufatilia taarifa zinazoletwa na mbeya ina hitaji moyo...vipi mmeshafika CUF, sikujua kama na wewe ni moja ya wapumbavu wenye viwanda vya umbeya....mara yanga kupata mil 504 kumbe umbeya mtupu mara viongozi wa simba walifoji sign ya ngasa yako wapi.... mil 45 na hata cheza mechi 6...
habari zenu wakuu.. #TeamAzamFC
tetetetetetehhhhh analia huyoo..Kufatilia taarifa zinazoletwa na mbeya ina hitaji moyo...vipi mmeshafika CUF, sikujua kama na wewe ni moja ya wapumbavu wenye viwanda vya umbeya....mara yanga kupata mil 504 kumbe umbeya mtupu mara viongozi wa simba walifoji sign ya ngasa yako wapi.... mil 45 na hata cheza mechi 6...
salama tu mkuu..Salama mkuu...
matokeo wanayajua, wanasubilia idadi ya magoli tu
Mzuri sana tena kwa nguvu zote tume shiba kilicho baki ni kushangilia Timu yetu na kuhakikisha ngao ina kwenda Chamanzi.habari zenu wakuu.. #TeamAzamFC
Kufatilia taarifa zinazoletwa na mbeya ina hitaji moyo...vipi mmeshafika CUF, sikujua kama na wewe ni moja ya wapumbavu wenye viwanda vya umbeya....mara yanga kupata mil 504 kumbe umbeya mtupu mara viongozi wa simba walifoji sign ya ngasa yako wapi.... mil 45 na hata cheza mechi 6...
habari zenu wakuu.. [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Team]#Team AzamFC[/URL]