Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Duh!
Sasa Cannavaro si ni kept?
Vp apewe card kwa kosa la kumuuliza refa.
 
Dakika ya 45

Mwamuzi wa pembeni Hamis Chang'walu ametoa maaamuzi yasiyo sahihi dakika ya 42, washabiki wote wanamzomea
 
Golini kama ameingia Dida, Yanga ndio basi tena!. Subirini kichapo. Hamjiulizi kwa nini Yondani na Bartez wameumia kimagumashi!!. Jibu mtalipata baada ya dk 90
Dk90 wewe utakua upo hapa kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom