Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Dakika ya ya 17

Young Africans 1 - 0 Azam FC

Kelvin Yondan ametoka anaingia Mbuyu Twite #majanga
 
Azam wanapoteza mpira langoni mwa Yanga. Azam wanaonekana kulewa na maghorofa ya Jo'burg.
 
mliopo uwanjani mna enjoy sana, kwan kuiangalia YANGA inacheza ni sawa na kumuangalia mkeo/mpenz wako akioga!
 
Inacho kufanya Yanga nikupunguza idadi ya magori tu.
 
Salamu za Leo ziwafikie dada zao Azam popote walipo.!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom