poa poa mkuu tupo pamoja..
Yanga 4 _ Azam 0
poa poa mkuu tupo pamoja..
Ngasa tapeli marufuku leo. Au hamjui?
Leo tumewakosaaa basi angalao hata goli tano, kama alivyo wafsnya binamu yao.
Wematokeo wanayajua, wanasubilia idadi ya magoli tu
Yanga anaumiza mtu, Telela.
Yanga 1-0 Azam, Telela dk. 2.
Leo tumewakosaaa basi angalao hata goli tano, kama alivyo wafsnya binamu yao.
Juzi naona uliingia mitini wakati wa game ya City na Gunners.....Hope leo hautakimbia maana mpira ni dakika 90....duuu hii kali sasa..
mmmhhh still time is there..Yanga 1-0 Azam, Telela dk. 2.
Dk. ya 5
Yanga 1-0 Azam
Salum Telela dk. ya 2
Msimu uliopita tulicharaza mbwa na mwenye mbwa bila Ngassa, unadhani leo tutashindwa kumcharaza puppy kwa vile Ngassa hayupo?
Juzi naona uliingia mitini wakati wa game ya City na Gunners.....Hope leo hautakimbia maana mpira ni dakika 90....
Usiwe muoga kiasi hicho....Matokeo yanaweza kubadilika kijana maana goli la mapema mara nyingi huwa halidumu....
COYYFC.....DMNM