Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

duu kipindi cha kwanza kishaisha kiaina boco itabidi atoke tu anazodoa..
 
Nadhani kuna aja ya kumpumzisha Telela ili Frank Domayo aingie maana Telela anachelewa kurudi nyuma kusaidia kusukuma mashambulizi.
 
tathimini ikoje mkuu?

Kuumia kwa Yondani na Barthez mapema kwa kiasi fulani imekuwa faida kwa Azam, angalau wamefanya mashambulizi kadhaa langoni Yanga. Twite na Didas wamejitahidi kuziba mapeng6 yaliyoachwa, Inshaallah tutashinda.
 
duu kipindi cha kwanza kishaisha kiaina boco itabidi atoke tu anazodoa..

Pole sana kaka, hivi hawa vijana huwa hawatembezi bahasha? Isije ikawa kapewa mshiko acheze chini ya kiwango.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom