Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

Live update:Yanga vs Azam leo tar 17.08.2013 taifa!!

We mbona unawafariji wenzio?

We mwache mbulula huyo ajilowaze maana saa12 jioni hao wote wote watakimbia.
We mwenyewe si unaona Masuke na ndetichia wanachungulia tu kwa mbaaaaaali!maana wameshapima maji na wameona hayaingiliki.
 
Last edited by a moderator:
We mwache mbulula huyo
ajilowaze maana saa12 jioni hao wote wote watakimbia.
We mwenyewe si unaona Masuke na
ndetichia wanachungulia tu kwa mbaaaaaali!maana
wameshapima maji na wameona hayaingiliki.

mimi nasubiri dk 90, nisikie KITOABU atasema nini.
 
Last edited by a moderator:
Star Tv wanaweza kuonesha hii Game?

No, kwa kuwa Azam ndiye mwenyeji, mechi itaoneshwa Live kupitia Azam TV na itaonekana nchi nzima kuanzia Mbamba Bay hadi Horiri na kutoka Mulongo hadi Kasumulu. Huko vijijini kote msiwe na wasiwasi itaonekana barabara, hata wasio na TV wataiona kupitia madirisha ya nyumba zao kwani Azam imepania kuleta mageuzi makubwa ya soka hapa Tanzania.
 
Hii Game ya leo ilikuwa ni kwenda Kabisa uwanjani ila ndo hivyo tu shughuli zimetukamata.

kweli mkuu, yan hii game sio ya kuadithiwa, na ukickiliza redion ndio presha tupu yan, watangazaji mpira umeshatoka yeye bado anatangaza!
 
No, kwa kuwa Azam
ndiye mwenyeji, mechi itaoneshwa Live kupitia Azam TV na itaonekana nchi
nzima kuanzia Mbamba Bay hadi Horiri na kutoka Mulongo hadi Kasumulu.
Huko vijijini kote msiwe na wasiwasi itaonekana barabara, hata wasio na
TV wataiona kupitia madirisha ya nyumba zao kwani Azam imepania kuleta
mageuzi makubwa ya soka hapa Tanzania.

kwa kuwa AZAM TV ndio ataonyesha ligi, basi ilitakiwa aanze na hii mechi ili kuonyesha kweli anaweza.
 
uploadfromtaptalk1376738588491.jpg
mia
 
No, kwa kuwa Azam ndiye mwenyeji, mechi itaoneshwa Live kupitia Azam TV na itaonekana nchi nzima kuanzia Mbamba Bay hadi Horiri na kutoka Mulongo hadi Kasumulu. Huko vijijini kote msiwe na wasiwasi itaonekana barabara, hata wasio na TV wataiona kupitia madirisha ya nyumba zao kwani Azam imepania kuleta mageuzi makubwa ya soka hapa Tanzania.

Duh.!! Bongo siasa kila sehemu.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom