LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

Hii speech inavyonigusa ni kama zile speeches zitolewazo kabla ya vita. Its so touching and it is building patriotism!
 
Chadema fungueni account CRDB tuweze kuchangia kwa ufasaha na umakini zaidi.wengine hizo Mpesa hatuna access nayo
 
kamanda anasisitiza hawataogopa yaliyompata Ulimboka, nilipotea kidogo kuwastua wadau wa TV kuadjust Marathon Change, Mtanistua mnaoangalia kama imebadilika
 
Hatuta ogopa yaliyo mpata ulimboka wala mtu yeyote mpigania haki-Mbowe
 
Aiseeee baba yangu nampata Mboe kwa mbali ngoja nipande juu ya bati nitizungushe antena

mama mremi nichungie mbege yangu
 
Nawashukuru sana star tv kwa kubadilisha hayo maandishi na kusomeka movement
 
Gharama ambayo mtu mjanja analipa ni kutawaliwa na watu dhaifu/wajinga/wapumbavu.
 
Kalale kaka......
Tafadhali....unachafua hali ya hewa humu...

Ahaa haa Mbowe mjomba wako? Watu wanacheza deal kuwaibia wapumbavu naona umeshika bango kupiga debe hela za sobodo hazimtoshi sasa wameibua mbinu mpya ya kuwaibia

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mwenyekiti wa CHADEMA akiongea ktk harambee ya kuchangisha fedha kwa ajiri M4C live kupitia star tv, amesema "hatutaogopa yaliyompata dr. Ulimboka katika kupambana, kupigania haki na maslahi ya taifa hili"
source: mbowe via startv.
 
Hatuna silaha, tuna dhamira na akili nyingi kidogo- Mbowe.
 
Back
Top Bottom