LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

Mbona nilisikia kwamba zile Posho zinachukuliwa na viongozi ili kuiwezesha M4C... Hivi wabunge wetu wanazitumia vipi fedha zao ya posho za kukaa (sitting allowance) ambazo hawakutaka kuzichukua..

Mkuu makasimio ya leo zinahitajika Bilioni 5 sasa utagundua kumbe zile Posho hata kama zitakuwa zinakusanywa kwa ajili ya Movement for Change ni Kijisehemu tu.

Load magazine yako ishibe tayari kutupia MPESA wakati wa Harambee hapo saa Mbili na Nusu Usiku


ADIOS
 
sasa mbona nasikia Makamu wa rais kaenda futulisha hapo?

Na wapo pia wageni wamelala hapo, Hakuna tatizo Mkuu kumbi ni nyingi serena, wanakofuturu kwingine Hall la M4C kwingine. Muhimu ni mchango wako
 
Na wapo pia wageni wamelala hapo, Hakuna tatizo Mkuu kumbi ni nyingi serena, wanakofuturu kwingine Hall la M4C kwingine. Muhimu ni mchango wako
Utasikia Kova amezuia Harambee kwa sababu kuna shughuli inayoongozwa na Mamau wa Rais hapo na kwa hiyo Askari hawatoshi...Si unajua Kova asivyo na aibu?
 
soon shughuli itaanza, naona Star TV wanachakarika kila kona kuhakikisha wanafanikisha zoezi hili.
 
Utasikia Kova amezuia Harambee kwa sababu kuna shughuli inayoongozwa na Mamau wa Rais hapo na kwa hiyo Askari hawatoshi...Si unajua Kova asivyo na aibu?

Anapaswa kuwa masjid muda huu kwenye Taraweikh sasa kama bado yupo hapa mie sijamuona. Na mambo yashakaa sawa hapa
 
  • Thanks
Reactions: SG8
tunasubiri kwa hamu kubwa hapa star tv, tuchangie moja kwa moja viva M4C
 
Hakikisha ujumbe huu unasambaa kwa jamaa yako mpenda mabadiliko asiyekuwa na access ya JF kwa kumuelekeza namna bora ya kuchangia M4C
 
LIVE Program itaanza majira ya saa 3 kasoro dk 5 kutokana na logistics kuwekwa sawa pale Serena. Muda punde baada ya IN FOCUS jamaa wataanza mambo rasmi.

STAY ONLINE


ADIOS
 
Hitilafu za Picha zilizojitokeza kwa upande wa warusha matangazo zimetanzuliwa japo naona kama wnahofu kuwa inawezekana wasiruke katika kile kiwango cha Ubora wao.

Sasa sijajua kinachowapa mashaka ni nini maana mie nikitazama vile vimonitor screen vidogo naona kitu clear au sijui wakati wanarusha, hapo kidogo sijajua wapi wanapata hofu. Ila uhakika wa kwenda hewani asilimia za kutosha.
 
Back
Top Bottom