LIVE UPADTES: M4C DAR - Lengo ni Kukusanya Bilioni 5 CHANGIA MABADILIKO

inabidi waandike neno CHADEMA kwa capital letters tupu kwani kwa small leta haitafika hyo sms,let them inform those at startv

unaimanisha nini mkuu kwamba ukiandika kwa herufi ndogo pesa itaenda kwa mwingine.
 
Watu walio nje ya nchi tunasikiliza Arusha Mambo but atujui jinsi ya kuchangia, mwy kujua atujuze
[/B]
 
Organizer wa hii shuguli amechemsha, sijui ni mambo gani Jamaa wanafanya. Uyo Dada inaonekana alikua ajui cha kusema. Pls Chadema tusaidieni.
 
Nasari hajakosea kauli yake anazungumzia uraini wa kuiondoa CCM madarakani
 
nape ndugu yangu.....nauhakika umeshika kalamu msikilize lema anataja account namba
 
Back
Top Bottom