Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,190
Waliosema CHADEMA ni mojawapo vyama vya uchaguzi; ndio kama hivi wenzenu tunkuja kuwashika kidemokrasia mpaka kieleweke!!!
Hitilafu za Picha zilizojitokeza kwa upande wa warusha matangazo zimetanzuliwa japo naona kama wnahofu kuwa inawezekana wasiruke katika kile kiwango cha Ubora wao.
Sasa sijajua kinachowapa mashaka ni nini maana mie nikitazama vile vimonitor screen vidogo naona kitu clear au sijui wakati wanarusha, hapo kidogo sijajua wapi wanapata hofu. Ila uhakika wa kwenda hewani asilimia za kutosha.
wakuu star-tv wamekosea hapo kwenye maandishi yao wameandika marathon badala ya Movement naomba mwenye no ya viongozi awapatie taarifa ili star tv waondoe hiyo
watanzania ni waoga-mh. mbowe