tatizo mkuu umekomalia kutongoza sehemu ngumu afu hushushi vocal nyundo kama zangu, nilizomshushiaga my Valentina. Hadi akakubali mziki wangu.
Spika 30.
vocal nyundo bila hata amplifier
Hakuna anayeweza nivuruga dear. Basi tu kuna mtu hapo kuingilia kitu asichokijua. Wanaita kiherehere na kudandia treni kwa mbele. Nahisi yeye ndio mwenye pepo. Kama kitu mtu hukielewi bora upite si kila kitu lazima ucomment aaah
Toka alivyoenda kumzika Mzee Madiba;
hata leo hii bado hajarudi,
eti ni mpaka wazaliwe watoto mapacha
kwenye familia ya yule mzee ndo waanue matanga; chama hivi kweli umeamua kunitosa hivi hivi :usa: